Passer aux informations produits

Cover iPhone (13/14/15/16 Pro Max) to 🔥 17 Pro Max

Cover iPhone (13/14/15/16 Pro Max) to 🔥 17 Pro Max

Usafirishaji Bure Tanzania

 8756 Reviews
Prix habituel 53,000.00 TZS
Prix habituel 53,000.00 TZS Prix soldé
Épuisé
Cover iPhone (13/14/15/16 Pro Max) to 🔥 17 Pro Max

Cover iPhone (13/14/15/16 Pro Max) to 🔥 17 Pro Max

Prix habituel 53,000.00 TZS
Prix habituel 53,000.00 TZS Prix soldé
SAVE Épuisé

Badilisha muonekano wa simu yako kuwa iPhone 17 Pro Max kwa sekunde chache! 📱✨

Furahia anasa na rangi ya kipekee ya Cosmic Orange bila kulazimika kununua simu mpya. Kava letu la kijanja linakupa muonekano wa kisasa na ulinzi wa hali ya juu

Sifa za Bidhaa (Features):
Muundo Sahihi 100%: Matundu ya kamera yaliyochongwa kwa usahihi ili kutoa muonekano halisi wa 17 Pro Max.

Vifaa vya Kioo vya Hali ya Juu: Imetengenezwa kwa kioo cha AG Matte kinachokupa mguso wa asili na kuzuia mikwaruzo.

Ulinzi Kamili: Hailengi tu urembo, bali inalinda simu yako dhidi ya mshtuko na kuanguka.

Rahisi Kuweka: Unaweza kuiweka na kuitoa kwa urahisi bila kuharibu simu yako.

 

Kwa nini uchague Kava letu?
Okoa Pesa: Pata muonekano mpya kwa gharama nafuu sana.

Jitofautishe: Kuwa wa kipekee na rangi ya machungwa inayovutia macho ya kila mtu.

Inasaidia Kuchaji Bila Waya: Inafanya kazi vizuri na MagSafe na haipotezi nguvu ya simu.

Afficher tous les détails